Mijadala ya S-CBO #2

Kwa mara ya pili sasa maktaba ya Saniaga iliyopo Wangulu itakua inawahusisha wanafunzi kwenye mashindano ya mijadala. Yote kwa minajili ya kuendeleza juhudi za kukuza ufahamu wa mali-asili na kushiriki katika uhifadhi wake. Twamkaribisha yeyote yule aliye na mawaidha ya kufanikisha mashindano haya. 


Comments