Utunzi bora haukosi kashfa
Lung'afa: Sam and Teddy, sato sawa?
- bash on the hills
Teddy Asongoka: Not around, tho I would really wish to
Lung'afa: Well. Me will travel over mugamba
Teddy Asongoka: Ntalipia bibi muende nae, umtunze mzuri tafadhali
Lung'afa: Vizuri sana. Hata na zaidi ya kumtunza. Nitafanya juhudi kuu kumfanya atunzike. Atatunzika kutunzika. Utunzi wangu u juu ya watunzi wote. Na baada ya utunzi atasema kweli, alitunzika!
+254 776 1616: kitanzaulimi hakitoshi, ongeza tashbihi
Teddy Asongoka: Duni sana, ukitaka kuongea kiswahili sanifu. Jipe jukumu ya kukisoma kwanza.
Lung'afa: Labda utunzi wenu mbovu. Tashbihi katika utunzi hulemaza utunzaji. Matunzi ya vitanzandimi ni utunzi uliokomaa. Asiyetunzika kilugha hupata shita utunzini. Nami sitazubaa kiutunzi kwani nafasi nimepewa. Lipi lingine ila kutunzia tuzo?
Teddy Asongoka: Umesema "tuzo" ama!😃
Lung'afa: Kwani mtunzi bora hutunza bure? Kunalo tuzo! Ama kazi yako kikanisakanisa? Ng'o si tosha. Unahitaji kofi.
Teddy Asongoka: Kiswahili kibovu, soma kijana
Lung'afa: Utunzi hausomwi. Hauigwi pia. Haurekebishwi wala. Hujionyesha tu. Pasi na vizidishi.
Ndio maana nikasema, uliyonipa kazi nitaifanya. Utunzi hutegemea mtunzaji. Na kibindoni nimo. Mtunzwa yu tayari. Ha! Kiuno nikizungushe mimi!
+254 6 196616: Nimeona neno kama "shita" hapa, ni kiswahili?
Lung'afa: Utunzi haukosi kashfa. Moja ni kuona fedheha na kuichafia. Shita ni kosa la kiutunzi.
+254 6 196616: Utunzi mbovu, nkt
Comments
Post a Comment